Photo of legendary Hollywood actor Will Smith on vacation with his family has gone viral on Kenyan Twitter.
Kenyan on Twitter (KOT) have turned it into a meme relieving some of the things their parents used to tell them (still tell them) when they were young.
Below we sampled some of the hilarious tweets (we shall keep updating ?):
"Huku mliamua mtakua mnaingia ile masaa mnataka sindio?" pic.twitter.com/6uCgerpnrP
— Amamacho (@Amamacho) April 18, 2019
"Niwazae, niwalee alafu mkue mnaingiia hii nyumba after Mimi?
Anzeni kulipa rent ama mhame!" pic.twitter.com/IowiBT9rkN— Baby Wĩtũ (@karigoh) April 18, 2019
Kuleni sukari yote baba yenu anafanya kazi na Mumias pic.twitter.com/DFEtlhrK3Q
— Gaddafi (@Gicherengo) April 18, 2019
“Yaani murasta? Umeona uniletee murasta ameshorwo shorwo kwa mikono kama devo woshipa? Na ako na midira kwa mapua. Huoni aibu wewe? Ni kiniua inataka, sindio? Unataka tu nikufe. Huyu ni mtoto wa nani sasa?” pic.twitter.com/X9S4PzFaj6
— Kikkyie (@waruwarrior) April 18, 2019
'Kwa sababu nyinyi ndio kusema huku, nitahama kwa hii nyumba niwaachie mjitawale' pic.twitter.com/OK8G8Yd4vK
— #Repeal162 ????️???? ???????? (@iGachango) April 18, 2019
Eeeeh…
Hesabu ya darasa hamjui. Lakini pocket money hamjawahi shindwa ku hesabu. pic.twitter.com/3t2yt0hPzo— Kamwana Zungusha Drum Tena ???? (@shobanes) April 18, 2019
"Umeitwa university sasa. Hebu enda uniletee mimba…Mimi sijakuwa tayari kupokea mchukuu!" pic.twitter.com/sHqdtGP0sE
— The Forgiven (@philbett) April 19, 2019
https://twitter.com/PadreMusa/status/1119124625919631361?s=19
Nobody:
Mutuku to his kids: "Nyinyi mna bahati sana nikiwa miaka yenyu nilikuwa naenda chuo miguu tupu " pic.twitter.com/1pw6YMIhrq
— Aubameyang!! (@bryoshavin) April 18, 2019
Hata msifunge curtain. Onyesheni wezi mko na TV pic.twitter.com/4yRuMrdjnk
— Ty (@tyrus_) April 18, 2019
Chai ni ya wageni, nyinyi mtakunywa ikibaki. pic.twitter.com/m2gdXVCurz
— Bett ???? (@BettKMax) April 19, 2019
Kazi yenu ni Tv siku nzima kukula… Kushuta shuta huku na kunijazia choo. pic.twitter.com/efwfDlaj85
— Olé Múngai???????? (@MoseMungai) April 19, 2019
“Nimetoka na nitarudi jioni. Msitafute mboga nitakuja mnikule!” If you grew up in shagz you can relate???????????? pic.twitter.com/YGXK9tQMRB
— Janet Machuka (@janetmachuka_) April 19, 2019
Hii nyumba sitawai ongea! Never! hamtawahi niskia tena! Vitu lazima muambiwe mara ishirini na hakuna mtu anaskiza.. Nimenyamaza kimya! pic.twitter.com/USXYkcnhOL
— Achieng Oriwo ???????? (@oriwo_faith) April 19, 2019
Ati kwa hii nyumba hakuna mzazi; eh? Huyu nywele ni marasta na mwenzake amepaka nywele vumbi. Ati sasa watu huko nje waseme nalea majangili sindio? Makirimino ndio wanaishi kwangu sindio? Acha nisipige kelele lakini msiseme napenda kushout pic.twitter.com/qn7XYb951C
— Wairimu wa Maingi (@Cate_Maingi) April 18, 2019
Nalipa school fees, vitabu nimenunua, pocket money ndio hio, shopping nimefanya alafu unaleta D kwa nyumba yangu. pic.twitter.com/uevoiWe34m
— ©Andy (@AndyMaina_) April 19, 2019
“Nyinyi endeleeni tu kupata ma B na ma C+ …kwa sababu wenye wanapata A wako na vichwa mbili” pic.twitter.com/gsbDCMfygo
— Smartie ???? (@Stacee_stace) April 19, 2019
Yaani mmepata 7 supplementaries in first year na mlikuwa na A KCSE ???????? pic.twitter.com/2qYLNieOCd
— Naom Kemunto???????? (@NaomKemunto5) April 19, 2019
"Afadhali ningezaa mandazi ni kule na nurse " pic.twitter.com/3NkPSfbvnA
— NJENGA ROY (@MshtakiwaM) April 19, 2019
Soooo….mumeamua kuniua kwa hii nyumba!!!!Mumeamua hamtapenda Mungu…..pombe mnakunywa nani aliwafundisha kukunywa???na hio pesa mnatoa wapi!!!!Heeh Endeni mtafte nyumba ingine muishi mkunywe pombe yenu pic.twitter.com/DUtxhA09uw
— my mother's daughter (@hildahrabut) April 20, 2019
Would you like to get published on this Popular Blog? You can now email Cyprian Nyakundi any breaking news, Exposes, story ideas, human interest articles or interesting videos on: hello@cnyakundi.com. Videos and pictures can be sent to +254 710 280 973 on WhatsApp, Signal and Telegram.
